March 4, 2015

 Mshambuliajiwa Barcelona, Luis Suarez sasa atatumia viatu vya aina yake, muonekano wake ni sawa na yule mtu aliyechora tatuu.

Viatu hivyo aina ya Adidas F50 vimepewa jina la ‘Love/Hate’, yaani “mapenzi/chuki”.

Anatarajia kuvaa viatu hivyo katika mechi inayofuatia ya Barcelona itakapokuwa ikiivaa Rayo Vallecano kwenye Uwanja wa Camp Nou, Jumapili.

Ingawa hajaweka wazi kwa nini vinatumia jina la mapenzi/chuki, lakini inaonekana ana maanisha mashabiki wachague kati ya kipaji chake ndiyo namba moja au vituko vyake ambavyo hawavipendi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic