Ligi Kuu ya Bara inatarajiwa
kuendelea kesho Jumatano kwa viwanja vitatu kutimua vumbi, Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam Young Aricans watawakaribisha Kagera Sugar mchezo
utakaoanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Jijini Tanga maafande wa Mgambo Shooting
watakua wenyeji wa Simba SC katika mchezo utakaofanyika uwanja wa Mkwakwani,
huku jijini Mbeya wenyeji Mbeya City watawakaribisha timu ya ya Stand United
kutoka mkoani Shinyanga kwenye uwanja wa Sokoine.







0 COMMENTS:
Post a Comment