Borussia Dortmund sasa ni balaa, wamepigwa tena
bao 3-1 na Borussia Monchengladbach.
Hali hiyo inazidi kuzua hofu kuwa kikosi hicho
maarufu kinaweza kuporomoka hadi daraja la kwanza.
Mashabiki wake wamekuwa na hofu kuu kuhusiana na
klabu hiyo, na kufungwa kwao mfululizo kumekuwa kukizua mjadala kila siku.
0 COMMENTS:
Post a Comment