April 17, 2015


Michuano ya soka kwa Ligi ya Wanawake Mkoa wa Dar es salaam inaanza kutimua vumbi Jumapili hii.


Kwa mujibu wa kamati ya mashindano ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), maandalizi kuelekea michuano hiyo yamekamilika ikiwa ni pamoja na viongozi wa klabu husika kupewa kanuni na taratibu zitakazotumika katika mashindano.

Jumla ya klabu nane zitashiriki katika ligi hiyo ya wanawake, navyo ni Simba Queen, Real Tanzanite, Temeke Squad, Ever Greaan Queens, JKT Queens, Lulu Queens, Mburahati Queens na Uzuri Queens.


Mechi ya ufunguzi itazikutanisha timu za Temeke Squad dhidi ya Ever-Green Queens. Itakapigwa kwenye Uwanja wa Mwalimu Nyerere Kinondoni jijini Dar es Salaam.



19.04.20151TEMEKE SQUADVsEVER-GREEN QUEENBANDARI/KARUMETEMEKE/ILALA
20.04.20152JKT QUEENSVsLULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
21.04.20153UZURI QUEENVsMBURAHATI QUEENMWALIMU NYEREREKINONDONI
22.04.20154SIMBA QUEENSVsREAL TANZANITEKARUMEILALA
23.04.20155UZURI QUEENVsJKT QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
24.04.20156MBURAHATI QUEENVsLULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
25.04.20157SIMBA QUEENSVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
26.04.20158REAL TANZANITEVsEVER-GREEN QUEENKARUMEILALA
27.04.20159LULU QUEENSVsUZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
28.04.201510MBURAHATI QUEENVsJKT QUEENSKARUMEILALA
29.04.201511EVER-GREEN QUEENSVSSIMBA QUEENSKARUMEILALA
30.04.201512TEMEKE SQUADVSREAL TANZANITEKARUMEILALA
01.05.201513EVER-GREEN QUEENSVSMBURAHATI QUEENKARUMEILALA
02.05 201514JKT QUEENSVSREAL TANZANITEMWALIMU NYEREREKINONDONI
03.05.201515SIMBA QUEENSVsLULU QUEENSKARUMEILALA
04.05.201516UZURI QUEENVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
07.05.201517LULU QUEENSVsEVER-GREEN QUEENKARUME ILALA
08.05.201518JKT QUEENSVsSIMBA QUEENSKARUMEILALA
09.05.201519MBURAHATI QUEENVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
10.05.201520REAL TANZANITEVsUZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic