April 21, 2015


Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Dk Damas Ndumbaro Mei 10 mwaka huu, makubaliano ambayo yalifikiwa na pande zote mbili kwa pamoja.


Kikao hicho  kilipitisha taratibu za kisheria ambazo zitatumika kuamua kesi hiyo, ambazo ni taratibu kama zinazotumika mahakamani ikiwemo kuwasilisha  hoja kwa mdomo na si maandishi, kitendo ambacho kimekubaliwa na pande zote mbili.

Utaratibu huu umekua ukitumika katika mahakama za kawaida kuepusha manung'uniko kwa upande mmoja kulalamika umeonewa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic