NGASSA (KUSHOTO) NA WACHEZAJI WENGINE WA YANGA WAKIWA MAZOEZINI KUJIANDAA DHIDI YA ETOILE. |
Mashabiki wa Etoile du Sahel ya Tunisia wamesema Mrisho Ngassa
ndiye tegemeo la Yanga na hatafanya lolote dhidi yao.
Mashabiki hao, wametupia mtandaoni picha ya Ngassa huku
wakionyesha karibu yake kuna mlinzi, nembo ya klabu yao na mfano wa myama Simba
ambaye analinda.
Mashabiki hao wamemtaja Ngassa ndiye tegemeo la Yanga, lakini wao
wako imara zaidi.
Etoile inakuja nchini kupambana na Yanga katika mechi ya kwanza ya
Kombe la Shirikisho hatua ya pili.
“Ngassa, Ngassa ndiyo. Lakini hatafanya lolote dhidi yetu,”
ilieleza sehemu ya bango hilo.
KIKOSI CHA ESS KITAKACHOKUJA KUPAMBANA NA YANGA: (Kwa mujibu wa website ya ESS na kutasfiriwa na google)
ReplyDeleteThe star coach Faouzi Benzarti summoned 19 players to make the trip to Tanzania in anticipation of the meeting Young Africans (TAN) / ESS accounting for the knockout stages go from the 2015 Confederation Cup which will be played Saturday, April 18, 2015 from 15:00 (local time) and 13:00 (Tunisian time ) at the National Stadium in Dar Essalem .
It is worth noting the return of Franck Kom Cameroon international who had served the second game suspension .
The list of players:
Aymen Mathlouthi
Aymen Ben Ayoub
Hamdi Nagguez
Ghazi Abderrazzak
Tej Marouene
Rami Bedoui
Zied Boughattas
Ammar Jemal
Saddam Ben Aziza
Mohamed Saied Nidhal
Mohamed Amine Ben Amor
Franck Kom
Mehdi Saada
Alaya Brigui
Hamza Lahmar
Youssef Mouihbi
Alkhali Bangoura
Sofiane Moussa
Baghdad Bounedjah
Open in Google Translate
►
Google Translate
translate.google.com/
Google's free online language translation service instantly translates text and web pages. This translator supports: English, Afrikaans, Albanian, Arabic, ...
In the news
Image for the news result
Hebrew or gibberish? Soccer star's faulty tattoo appears straight out of Google translate - World - Israel News