Kiungo
wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema yuko fiti kabisa.
Niyonzima
amemtaka mwandishi wa blogu hii kuondoa hofu baada ya kumuona akichuliwa
misuli.
“Aah,
niko safi kabisa. Ondoa hofu ni sehemu ya kujiweka vizuri na mechi dhidi ya
Etoile,” aliema Niyonzima.
Jacob
Onyango, mchua misuli wa Yanga alitumia takribani dakika 10 akimchua kiungo
huyo raia wa Rwanda.
0 COMMENTS:
Post a Comment