![]() |
| MATOLA AKIWA NA REHEMA.... |
Baada ya kusubiri kwa
muda, hatimaye kesho itakuwa siku ya kukumbukwa kwa Kocha Msaidizi wa Simba,
Selemani Matola.
Matola anafunga ndoa
na mpenzi wake wa siku nyingi, Rehema Karani.
Wengi walitamani kujua sura ya ‘shemejiiii’ ambaye ni mwanadada mrembo kweli.
Huenda kilichobaki ni
kumsifia kuwa kweli Matola amchagua hasa mtoto kutoka Mwanza, sijui Lindi. Ahh,
ila huyo ndiye shemeji yenu.








0 COMMENTS:
Post a Comment