April 20, 2015


WACHEZAJI WA SIMBA WAKIJIFUA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, LEO.
 Baada ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mbeya City, Simba imerejea tena mawindoni na kuanza kujifua.


Simba imefanya mazoezi leo kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunivic na msaidizi wake, Selemami Matola waliongoza mazoezi hayo.

Wachezaji walikimbia na baadaye kufanya mazoezi mepesi kabla ya kucheza mpira.
Kopunovic amesema wanalazimika kukitumia kipigo cha Mbeya City kama sehemu ya maandalizi ya mechi zilizobaki.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic