Baada ya kumaliza kazi yaani msimu, Cristiano Ronaldo
ameamua kujiachia.
Baada ya mechi 54, akiwa ampachika mabao 61 sasa
ameamua kujiachia katika ufukwe wa
St Tropez.
Wakati Lionel Messi akiendelea kuing’arisha Barcelona, Ronaldo ameamua kupumzika kwa kuwa sasa hana cha kuisaidia Madrid.
Sasa ni bata tu na ameonekana kiwa na marafiki zake
katika boti za kifahari.
0 COMMENTS:
Post a Comment