Beki Chris Smalling amefunga safari hadi Barbados kwa
kujiachia akiwa na mchuchu wake mwanamitindo Sam Cooke.
Pamoja na Cooke, Smalling ameungana na familia yake
kwa ajili ya kujiachia.
Beki huyo wa Manchester United alikuwa kati ya mabeki
waliofanya kazi nzuri katika msimu ulioisha wa Ligi Kuu England.
0 COMMENTS:
Post a Comment