CHEKA AKIMUADHIBU SINGWANCHA. |
Bondia Kiatchai Singwancha kutoka
Thailand ametoa kali baada ya kusema alikuwa hamuoni mpinzani wake Francis
Cheka.
Cheka amefanikiwa kumshinda
Singwancha katika pambano kali lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam.
Add caption |
"Nashangaa, mara kadhaa nilishindwa kumuona. Kweli nilikuwa simuoni, niamini," alisema
Mtailand huyo alibwaga manyanga kabla
ya kuanza kwa raundi ya nane baada ya kuwa amepigana zote saba.
Alisema alikuwa hamuoni na alipambana
vilivyo lakini mwisho mkono wake uliteguka, hivyo akashindwa kuendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment