MSHAMBULIAJI NUNDA WA LIVERPOOL, STEVEN GERRARD AMEMUANDIKIA BARUA TAMU NAHODHA WAKE STEVEN GERRARD AMBAYE LEO AMEAGWA ANFIELD. GERRARD SASA AMEBAKIZA DAKIKA 90 AMALIZIE MAISHA YAKE KATIKA KLABU HIYO NA BALOTELLI AMEONYESHA PAMOJA NA VITUKO, WAKATI MWINGINE NAYE NI MTU.
0 COMMENTS:
Post a Comment