Mbeya City imefanikiwa
kumnasa beki wa zamani wa Simba, Haruna Shamte pamoja na kiungo mshambuliaji wa Coastal
Unuion, Joseph Maundi.
Shamte ambaye misimu miwili iliyopita amekuwa akiitumikia JKT Ruvu, aliamesaini mkataba wa mwaka mmoja huku Maundi akisaini mwaka mmoja na nusu.
Wawili hao wameonekana
ni wenye furaha baada ya kujiunga na Mbeya City kwa ajili ya msimu ujao.
0 COMMENTS:
Post a Comment