Bondia Anthony Joshua ameonyesha uwezo mkubwa baada ya
kumchapa Kevin Johnson kwa KO katika raundi ya pili.
Joshua amekuwa mtu wa kwanza kumshinda Jonhson ambaye
alikuwa hajapigwa na hatari kweli.
Mmarekani huyo alikuwa tishio na hajawahi kupigwa na
Joshua hakuwa akipewa nafasi ya kumshinda Mmarekani huyo.
Johnson mwenye umri wa miaka 36, alionekana kuishindwa
kasi ya Joshua tokea katika raundi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment