May 29, 2015



Blatter amemshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein, licha ya kuwa na kashfa ya rushwa kuwaandama wasaidizi wake.


Blatter ameshinda kwa kura 133 kwa 73 katika mzunguko wa kwanza tu baada ya kuamua kujitoa kabla ya raundi ya pili kufanyika.
 
AKIPONGEZWA NA MBAYA WAKE PLATINIAli bin al Hussein aliona kusingekuwa na nafasi tena kwake hata kama raundi ya pili ya uchaguzi huo uliofanyika Zurich, Uswis ingefanyika tena.

Katika hotuba yake mara baada ya ushindi huo, Blatter alimshukuru Mungu akitumia majina ya “God, Allah” na kusisitiza.


“Mimi si ninayeweza kufanya kila kitu bila kukosea hata kidogo, hakuna pia asiye mkosaji kama binadamu. Tusonge mbele Fifa.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic