Magwiji wawili, Ricardo Kaka na David Villa, kila
mmoja alifunga mabao lakini wakashindwa kuiokoa Orlando City.
Mechi kati ya Orlando City iliisha kwa sare ya bao 2-2
baada ya wachezaji wa New York City na kusawazisha.
Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major
League ilikuwa tamu na ya kuvutia kutokana na ushindani.
Pedro Ribeiro alitibua sherehe hiyo baada ya kufunga
bao katika dakika ya 89.
0 COMMENTS:
Post a Comment