Chelsea leo walikula raha ya kupewa makofi ya
heshima wakati wakiingia uwanjani.
Liverpool ndiyo waliwapa mabigngwa hao wapya wa
England heshima hiyo ya makofi.
Hii ilikuwa kama vile Azam FC walivyowapigia
makofi ya heshima Yanga ambao ni mabingwa wapya wa Tanzania Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment