Man City imeitwanga QPR kwa mabao 6-0 na
kuiteremsha daraja rasmi.
QPR ina pointi 27, imebakiza mechi mbili, iwapo
itashinda zote itafikisha pointi 33.
Maana yake itakuwa imeshindwa kujiondoa katika
nafasi mbili za kuteremka daraja kwa kuwa Hull City ina pointi 34 na iko katika
nafasi ya 18 ambayo pia ni ‘denja’.
Man City XI: Hart 6, Zabaleta 6.5, Demichelis 6,
Mangala 7, Kolarov 7, Fernando 6.5, Milner 7 (Navas), Fernandinho 6.5 (Toure
6), Lampard 6.5 (Bony 6.5), Silva 7.5, Aguero 8
Subs not used: Caballero, Sagna, Kompany, Dzeko
Manager: Manuel Pellegrini 7
QPR XI: Green 5.5, Caulker 4.5, Dunne 5, Hill,
Phillips 5, Barton 5, Henry 5.5, Suk-Young 4.5 (Wright-Phillips), Fer 5
(Kranjcar 6), Zamora 4 (Hoilett 6), Austin 6
Subs: McCarthy, Furlong, Grego-Cox, Comley
Manager: Chris Ramsey 4
Referee: Mike Dean - 6
0 COMMENTS:
Post a Comment