Kiungo Yaya Toure wa Man City ametimiza miaka 31
leo wakati akiitumikia timu yake ambayo imeitwanga QPR kwa mabao 6-0.
Mashabiki baadhi waliingia na mabango kumpongeza
na ndege ilipita juu ya uwanja wa Emirates ikiwa imebeba bango kumpongeza.
Kama unakumbuka mwaka jana, Yaya aliwahi
kulalama kwamba uongozi na wachezaji wenzake walimtosa siku hiyo ya kuzaliwa
kwake.
0 COMMENTS:
Post a Comment