May 6, 2015


Pamoja na mvua kubwa ya kuudhi, mashabiki wengi wa Yanga na Azam FC wamejitokeza kwenye Uwanja wa Taifa kuzishuhudia timu hizo zikipambana.


Lakini kikubwa kwa mashabiki hao ni kuiona Yanga ikikabidhiwa kombe lake. Kabla, Azam FC ndiyo walikuwa wakilishikilia.

Kombe hilo, mashabiki tayari wameliona likiingizwa uwanjani hapo. Lakini wanachosubiri, wanataka kuona likikabidhiwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic