Kipa wa JKT Ruvu, Jackson
Chove ameamua kuuacha ukapera baada ya kufunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake wa
siku nyingi.
Chove aliyewahi kuzidakia
Yanga na Azam FC ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kumuoa Mariam Said.
Shughuli nzima
ilifanyika Mabagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na sasa Chove hayumo tena
katika kundi hilo la makapera.
0 COMMENTS:
Post a Comment