WABABE WA UJERUMANI SASA WANAZIDI KUYUMBA MAANA WAMEPOTEZA MCHEZO WA TATU MFULULIZO BAADA YA KICHAPO CHA MABAO 2-1 KUTOKA KWA FREIBURG KWENYE MECHI YA BUNDESLIGA WAKIWA UGENINI, JANA. HUO NI MCHEZO WA TATU MFULULIZO WANAPOTEZA BAADA YA KIPIGO CHA BARCELONA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment