May 2, 2015

Mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamepima uzito ikiwa ni hatua muhimu ya kuthibitisha pambano la kesho.


Kukutana kwao na kupima uzito, maana yake kila kitu kimekamilika na kinachosubiriwa ni ndonga tu kesho.

Ndiyo pambano ghali zaidi katika historia ya ngumi duniani na linasubiriwa kwa hamu duniani kote wakati wawili hao wakipambana jijini Las Vegas, Marekani.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic