MBUNGE WA VITI MAALUM, AL SHAYMAA AMETEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS NA KUIPONGEZA TIMU YA GAZETI NAMBA MOJA LA MICHEZO LA CHAMPIONI NA KUWAPONGEZA KUTOKANA NA KUENDESHA KWA JUHUDI KUBWA VITA DHIDI YA WANAOFANYA MAUAJI YA ALBINO.
SHAYMAA ALIFANYA MAZUNGUMZUMZO NA MKURUGENZU MTENDAJI WA GLOBAL PUBLISHERS, ERIC SHIGONGO NA BAADAYE MHARIRI KIONGOZI WA CHAMPIONI, SALEH ALLY NA KUTOA PONGEZI ZAKE. ANGALIA MBUNGE HUYO ALIVYOSHIRIKI KATIKA KAMPENI HIYO YA GAZETI LA CHAMPIONI MAARUFU KAMA "KOMESHA". |
0 COMMENTS:
Post a Comment