May 10, 2015

STEVEN GERRARD AMEIFUNGIA LIVERPOOL BAO LA KUSAWAZISHA NA KUFANYA MATOKEO YAWE 1-1 DHIDI YA CHELSEA. NDIYO BAO LAKE LA MWISHO AKIICHEZEA TIMU YAKE, PIA BAO LAKE LA MWISHO KATIKA UWANJA WA STAMFORD BRIDGE MAARUFU KAMA DARAJANI.
GERRARD ANAONDOKA LIVERPOOL MWISHONI MWA MSIMU HUU KWENDA ZAKE LA GALAXY YA MAREKANI.
HATA HIVYO BAO HILO HALIJAISAIDIA LIVERPOOL, KWANI INAONEKANA IMEKOSA NAFASI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA ULAYA, MWAKANI.














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic