SALUM KANONI NAYE AACHANA NA UKAPERA, AVUTA KITU SAAFI Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni naye ameachana na ukapera baada ya kuvuta jiko. Kanoni aliyewahi kuichezea Simba, amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, sasa ni mume wa mtuuuu.
0 COMMENTS:
Post a Comment