June 2, 2015

Chelsea imemalizika ziara yake katika nchi mbalimbali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sydney ya Australia.

Loic Remy ndiye alifunga bao pekee kwa shuti kali la takribani mita 18 na kukamilisha ziara hiyo kwa ushindi huo.

Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Terry, Ake (Christiensen 46), Mikel, Matic, Remy (Brown 84), Boga (Solanke 46; off for Musonda 82), Hazard (Colkett 88), Diego Costa (Loftus-Cheek 40; off for Houghton 68)
Goals: Remy 
Sydney: Janjetovic, Gersbach, Petkovic, Jurman (Calver 78), Grant, Antonis (Gligor 74), Faty (Triantis 54), Naumoff, Brosque (Blackwood 68), Stambolziev, Smeltz (O'Neill 82)











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic