Kama ni wanamichezo
kuonyesha ni matajiri, basi mfano mwingine ni huu kwa mcheza tenisi, Rafael
Nadal kuvaa saa yenye thamani ya pauni 510,000 (zaidi ya Sh bilioni 1.8).
Nadal alivaa saa hiyo wakati wa michuano ya French
Open wakati akicheza dhidi ya Jack Sock.
Saa hiyo aina ya RM27-02 iliyotengenezwa na kampuni ya
luxury Swiss.
Taarifa zimeeleza, kampuni hiyo ilitengeneza saa 50 tu
za aina hiyo na moja ndiyo imenunuliwa na Nadal ambaye amewahi kutwaa taji la
French Open mara 9.
0 COMMENTS:
Post a Comment