Mshambuliaji mpya
wa Simba, Laudit Mavugo anaonekana kuvutiwa zaidi na Didier Drogba.
Mavugo anavutiwa
na Drogba raia wa ivory Coast na amekuwa shujaa wake.
Straika huyo ameiambia SALEHJEMBE kwamba anavutiwa na uchezaji wa Drogba katika ushambuliaji.
"Unajua Drogba ni mchezaji wa aina yake, mshambuliaji anayejua kazi yake kabisa. Ananivutia sana pia napenda kumuona anacheza," alisema.

Drogba ambaye
amerejea Chelsea na kuiwezesha kubeba tena ubingwa wa England, pia amekuwa
chaguo namba moja la mshambuliaji wa zamani wa Simba, Selemani Ndikumana.
Ndikumana, raia wa
Burundi kama ilivyo kwa Mavugo, amewahi kuichezea Simba kwa misimu miwili kabla
ya kuondoka na kwenda Ubelgiji, Rwanda na baadaye Sudan.
0 COMMENTS:
Post a Comment