July 14, 2015

TALIB (KULIA) AKIWA NA YUSUF ABEID (MWENYE JAKETI JEKUNDU) WAKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAO WAKATI WA MAPUMZIKO KATIKA MECHI DHIDI YA COSTA RICA.

Wachezaji wa zamani wa Simba na Pamba, wameonyesha wanaweza baada ya kuanza kwa ushindi wakikiongoza kikosi cha Oman kwenye michuano ya Kombe la Dunia upande wa ufukweni.



Katika michuano hiyo inayochezwa nchini Ureno, beki wa zamani wa Simba, Talib Hilal na kipa wa zamani wa Pambana ya Mwanza, Yusuf Abeid ambaye ni msaidizi, waliingoza Oman kuitungua Costa Rica kwa mabao 7-2.


Waliweza kuonyesha mchezo mzuri, mabingwa hao wa Asia walifanikiwa kufanya vema kwa vipindi vyote viwili.
Bado wana matumaini katika kundi B licha ya kukutana na kipigo cha mabo 4-2 dhidi ya Italia katika mechi yao ya pili.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic