CHEKI PICHA ZA BENTEKE AKITUA MAZOEZINI KWA MARA YA KWANZA PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONYESHA MSHAMBULIAJI MPYA WA LIVERPOOL, CHRISTIAN BENTEKE WAKATI AKITUA MAZOEZINI KWA MARA YA KWANZA. MSHAMBULIAJI HUYO AMEJIUNGA NA LIVERPOOL AKITOKEA ASTON VIULA KWA DAU LA PAUNI MILIONI 32.5.
0 COMMENTS:
Post a Comment