Manchester United imeshinda kwa mabao 3-1 katika mechi yake ya kirafiki dhidi ya San Jose Earthquakes ya nchini Marekani.
Kiungo wake mpya, Memphis Depay amekuwa kati ya waliofunga mabao huku Wahispania Juan Mata na Herreira kila mmoja akitupia bao.
Manchester United first-Half (4-3-3): Johnstone, Darmian, Jones,
Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Young, Mata, Memphis, Rooney
Second-half (4-3-3): Johnstone, McNair, Smalling, Evans, Blackett,
Lingard, Schweinsteiger, Herrera, Pereira, Januzaj, Wilson
Scorers: Mata 32; Depay 37; Pereira 61
San Jose Earthquakes: Bingham, Wynne (Koval 46), Bernardez (Silva
62), Goodson (Renato 46), Stewart (Francis 46), Alashe, Pierazzi (Pelosi 46),
Garcia (Coutadeur 46), Cato (Thompson 46), Salinas (Barrera 46), Amarikwa
(Sherrod 46, Jahn 71)
Scorer: Alashe 42
Referee: Juan Guzman
Attendance: 18,000
0 COMMENTS:
Post a Comment