Conor McGregor amefanikiwa kuibuka na ushindi
katika mechi kali ya mixed martial kuwania ubingwa wa dunia ya ubingwa wa UFC
interim featherweight.
McGregor ameibuka na ushindi baada ya kushindwa
kung’ara mwanzoni dhidi ya Mendes kabla ya kucharuka mwishoni na kumchakaza.
Kuonyesha mechi hiyo ilikuwa kali ilihudhuriwa
na mastaa kibao wa michezo na wa filamu.
Upande wa soka alikuwepo mshambuliaji wa Barcelona, Neymar. Mike
Tyson alikuwa kati ya mabondia nyota waliohudhuria huku gavana wa Califoria,
Anorld Schwarzenegger akiwa
mmoja ya waliojitokeza kushuhudia pambano hilo lililosubiriwa kwa hamu kubwa na
wadau wa mchezo huo.
Neymar a été nommé deux fois le footballeur sud-américain de l'année, en 2011 et 2012, avant de déménager en Europe pour rejoindre Barcelone.
ReplyDelete