Straika Allan
Wanga kutoka El Merrikh alitua jana mchana jijini Dar na anatarajiwa kuanza
mazoezi ya pamoja na Azam FC na kama akielewana na klabu hiyo ataichezea
kwenmye Kagame.
Taarifa zinaeleza
mazungumzo na uongozi wa Azam yako safi, lakini suala ni kocha tu kumuona mkali
huyo wa mabao raia wa Kenya.
TUNAENDELEA KUFUATILIA…








0 COMMENTS:
Post a Comment