Wachambuzi wa Soka Barani Ulaya wamempa nafasi kungo Ardan Turan kuwa
akitua katika kikosi cha Barcelona ana nafasi ya kucheza.
Taarifa za kwamba yeye ameichagua Barcelona licha ya kuwa na taarifa
kuwa kiungo huyo wa Atletico Madrid anawaniwa na timu kadhaa barani Ulaya.
Turan mwenyewe alisema yuko kwenye sikukuu na bado hajazungumza lolote
kuhusiana na timu mpya.
Lakini bado wachambuzi hao wanaamini pamoja na Lionel Messi, Iniesta, Neymar
na Luis Suarez abado Turan mwenye asili ya Uturuki bado ana nafasi ya kucheza
katika kikosi hicho.
0 COMMENTS:
Post a Comment