July 3, 2015


Tayari Sergio Ramos ameishaonyesha nia ya kutaka kujiunga na Manchester United.


Lakini uwezekano mkubwa na kwa asilimia mia kuwa jezi tatu tu ndizo anaweza kuvaa beki huyo wa kati ngangari.

Pamoja na Real Madrid ambayo inafanya juhudi za kumbakiza, Man United ambayo ameonyesha kuipenda, bado inaonekana Ramos anaweza kujiunga na Bayern Munich.

Munich wamekuwa wakifanya vitu kimyakimya, lakini taarifa zinaeleza wanataka kujiimarisha katika ulinzi hasa katikati na Ramos ni kati ya wanayemchungulia kwa darubini kali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic