Mshambuliaji mpya wa Azam FC,
Allan Wanga amefiwa na na mama yake mzazi.
Taarifa kutoka Nairobi zimeeleza,
Wanga amepata msiba huo leo.
Akizungumza kutoka Wanga amesema,
analazimika kuwa nje ya kikosi cha Azam FC kwa muda.
“Nimeshindwa kuja kutokana na
msiba huu, sasa siko vizuri,” alisema Wanga.
Ndugu yake wa karibu amesema wako
katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mazishi.
0 COMMENTS:
Post a Comment