ANGALIA 'MAPICHA' NAMNA SIMBA ILIVYOWATOA SHOO URA LEO TAIFA SIMBA LEO IMEVUNJA MWIKO WA KUWA WATEJA WA URA YA UGANDA KWA KUICHAPA MABAO 2-1 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, LEO. CHEKI MAPICHA. JUUKO AKISHANGILIA BAO LAKE... NDAYISENGA BAADA YA KUWAMALIZA URA...
0 COMMENTS:
Post a Comment