BAADA YA KIATU CHA BALOTELLI, PUMA YATENGENEZA KIATU CHENYE KIDUKU Kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma, imetengeneza mpira wenye kiduku. Sijui utachezwa vipi, lakini kampuni hiyo imeanza kwa kumtengenezea Mario Balotelli kiatu chenye kiduku. Ok, ndiyo mambo ya binadamu hayo. Ubunifu kila kukicha.
0 COMMENTS:
Post a Comment