August 19, 2015


Kiungo mshambuliaji mpya wa Man United, Memphis Depay amefunga mabao mawili na kuisadia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mechi ya Play-off ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Club Bruge ya Ubelgiji.

Pamoja na kuonyesha kiwango bora, lakini bao hili la pili alilofunga kutoka yadi 19 kwa kupiga shuti mpindo, ndiyo lilikuwa gumzo zaidi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic