August 13, 2015


Kocha wa Costa Rica, Paul Wanchope ameamua kuachia ngazi.


Wanchope ameachia ngazi baada ya kuzichapa kavukavu na mlinzi kwenye Uwanja wa Panama wakati timu ya nchi yake chini ya miaka 23 ilipokuwa ikicheza mechi ya kufuzu Olimpiki.
 
Mlinzi alipinga Wanchope kufungua moja ya geti na kuvunja utaratibu.

Akamvamia na kuanza kumpiga, Wanchope ambaye aliwahi kung;ara akiwa na Derby County na Manchester City naye akajibu mashambulizi.

Lakini amezungumza na waandishi na kuthibitisha kweli ameamua kuachia ngazi.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic