August 6, 2015

Hili balaa tena, kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere ameumia kwa mara nyingine.


Wilshere sasa analazimika kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita, yaani mwezi mmoja na nusu kutokana na maumivu ya enka.


Wilshere ambaye amekuwa akiandandamwa na majeraha mara kwa mara, amejikuta akiingia kwenye bahati mbaya siku wiki tu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic