Manchester
United itakutana na kati ya timu hizi katika mechi mbili za play-off ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya.
Kwa kuwa
ilishika nafasi ya nne katika Ligi Kuu England msimu uliopita, inalazimika
kucheza play-off. Ratiba itapangwa kesho mjini Nyon.
Inatarajiwa
kukutana na moja ya timu zifuatazo Lazio, Club Bruges, Monaco, CSKA Moscow au
Rapid Vienna.
Ikishinda,
ndiyo inapiga hatua na kuingia katika hatua ya makundi, ikitolewa, ijue safari.
0 COMMENTS:
Post a Comment