August 17, 2015


Mario Balotelli ameamua zake kusafiri hadi jijini Manchester ambako ameshuhudia mchezo kati ya Man City waliokuwa wenyeji wa Chelsea.


City ambayo ni timu ya zamani ya Balotelli iliibuka na ushindi mtamu wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa England.

Balotelli alishuka hadi njia ya kuendea vyumbani na kuanza kuwapongeza baadhi ya wachezaji wa Man City akiwemo nahodha Vicent Kompany.


Baada ya hapo, akaitupia picha hiyo kwenye mtandao wa Isnstagram.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic