Leo ndiyo ile kazi ya
kutafuta mbabe wa jumla wa Ulaya wakati Barcelona wanapokutana na Sevilla
katika mechi ya Eufa Super Cu.
Bingwa wa Champions League
na Europa League wanakutana kupata mbabe wa jumla wa Ulaya, Super Cup.
Kila upande umefanya
mazoezi ya mwisho jana usiku na kila upande unaonekana kuajiamini.
0 COMMENTS:
Post a Comment