MKURUGENZI MTENDAJI MKUU WA AZAM, ABUBAKARY BAKHRESA (ANAYETABASAMU) AKISHUHUDIA KIKOSI CHAKE CHA AZAM FC KIKIPAMBANA NA YANGA KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII AMBAYO KILIPOTEZA KWA KUFUNGWA KWA MIKWAJU 8-7 YA PENALTI. ABUBAKARY AMBAYE NI MTARATIBU ALIKUWA KATI YA WATAZAMAJI WALIOKUWA WAKIUFUATILIA MCHEZO HUO KWA UMAKINI MKUBWA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment