August 18, 2015

Barcelona wamejitutumua na kupa sare ya mabao 1-1 dhidi ya Athletico Bilbao kwa lililofungwa na Lionel Messi.

Lakini haikuwasaidia kuwazuia Bilbao kubeba ubingwa wa Super Cup Hispania.


Kwani katika mechi ya kwanza wakiwa ugenini Barcelona walichapwa mabao 4-0. Jana, mbaya zaidi wakakubwa na balaa la beki wao Gerard Pique kulamwa kadi nyekundu.



Barcelona: Bravo, Piqué, Rakitic (Munir 68), Sergio, Alves, Pedro (Sandro 68), Iniesta, Suárez, Messi, Mascherano and Mathieu 
Subs not used: Ter Stegen, Rafinha, Bartra, S.Roberto, Vermaelen.
Scorer: Messi, 43
Sent off: Pique. 
Athletic Bilbao: Iraizoz; De Marcos, Balenziaga, Etxeita (Elustondo 68), Laporte, Gurpegi, Benat (Mikel Rico 83), Eraso, Boveda, Aduriz (Kike Sola 81), Susaeta. 
Subs: Iago Herrerín, Aketxe, Sabin, Lekue.
Sent off: Kike Sola 
Scorer: Aduriz, 75










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic