KWA MAANA YA MECHI ZA KIRAFIKI, UNAWEZA KUSEMA SIMBA IMEKWIVA; LEO IMESHINDA 3-2 DHIDI YA KMKM ILIYOTOKA KUSHIRIKI MICHUANO YA KAGAME. KMKM NI NZURI ASEE, ILIANZA KUSHINDA HADI MABAO 2-0 KABLA SIMBA KURUDISHA ANA KUONGEZA MOJA LA USHINDI, SI MCHEZO NA HAIKUWA KAZI LAHISI. IBRAHIM AJIBU (PICHANI JUU) ALIPIGA MBILI NA MOJA AKATUPIA MGANDA, HAMIS KIIZA. CHEKI MAPICHA YA ACTION KWENYE UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR, LEO. |
0 COMMENTS:
Post a Comment