August 12, 2015

 
Bao la usiku la Pedro aliyetokea benchi limeibeba Barcelona na kushinda Uefa Super Cup.

Barcelona ilikuwa imebanwa licha ya kuongoza kwa mabao 3-2 dhidi ya Sevilla ambao waliamka na kusawazisha hadi 4-4 ahali iliyofanya muda wa dakika 30 kuongezwa.


Muda wa nyongeza, bado Sevilla walionekana wazima hadi Pedro alipomaliza kazi hiyo kwa kufunga bao katika dakika ya 115.


VIKOSI:
Barcelona: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mascherano (Pedro 93), Mathieu, Rakitic, Busquets, Iniesta (Sergi Roberto 63), Messi, Luis Suarez, Rafinha (Bartra 78) 
Subs not used: Bravo, Adriano, Sandro, Munir.
Goals: Messi 7, 15, Rafinha 44, Suarez 52, Pedro 115
Booked: Pedro, Mathieu, Alves, Busquets 
Sevilla: Beto, Coke, Rami, Krychowiak, Tremoulinas, Krohn-Dehli, Banega, Reyes (Konoplyanka 69), Iborra (Mariano 80), Vitolo, Gameiro (Immobile 80). 
Subs not used: Sergio Rico, Kakuta, Luismi, Suarez.
Goals: Banega 3, Reyes 57, Gameiro (72 pen), Konoplyanka 81
Booked: Coke, Banega, Immobile, Krychowiak, Krohn-Deli
Referee: William Collum (Scotland)









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic